New tool to remove Frp Lock

Frpier ni tool au program inayohusika kutoa loki inayojulikana kama Factory Reset Protection (FRP). Loki hii hujitokeza mara tu simu kuanzia version android 5 (lollipop) na kuendelea zinapoformatiwa kwa kutumia keys zinazoonekana (kuformat kwa mkono). Ni kwa mda mrefu sasa loki hii ya FRP imekuwa ni kikwazo kikubwa kwa wote mafundi na watumiaji wa simu kubwa. Kikundi cha Microfensho kinachohusika na Teknolojia kilichopo nchini Tanzania kimepitia changamoto nyingi mpaka kufikia kuvumbua suluhisho la vikwazo hivyo kwa kutengeza program ama tool ya kutolea FRP.Program hii hutoa FRP kwa haraka na ni nyepesi kwa watumiaji ikienda sambamba na gharama nafuu za credits zinazouzwa na watengenezaji wa program hii.
FRIPIER inatoa loki ya frp kwa simu nyingi zinazojumuisha Tecno na Itel kwa sasa lakini ipo katika harakati ya kuongeza brandi kama vile Samsung pamoja na simu za spreadtrum zote(SPD).Miongoni mwa simu ambazo ni rahisi kutoa frp kupitia FRPIER ni Tecno K8 pamoja na Tecno f2 zinazojulikana kama ni secureboots Locked smartphones.Vilevile FRPIER haikusahau kuweka model za simu kama vile
Tecno F2
Tecno W1capture.png
Tecno W2
Tecno W3
Tecno WX3
Tecno WX3 Pro
Tecno WX3 Lite
Tecno W4
Tecno WX4
Tecno W5
Tecno W5 Lite
Tecno K7
Tecno K8
Tecno K9
Tecno L8
Tecno L8 Lite
Tecno L8 Plus
Tecno L9
Tecno J8 Boom
Tecno DroidPad 7D
Tecno Camon Cx
Tecno Camon Cx Air
Tecno C9
Itel A31
Itel P51
Itel S11
Itel S12
Itel S31
Itel S32
Itel S41
Itel 1655
na nyengine nyingi ambazo hazikuinishwa hapa.
FRPIER is a tool and program which involves in removing lock known as Factory Reset Protection (FRP). This lock emerges once a phone starting from the android version 5 (lollipop) and ahead being format using the solid visible keys (hardreset). For a long time now this FRP lock has become a major obstacle to both technicians and smartphone users. The Microfensho Group involved in Technology in Tanzania has faced a lot of challenges until it comes to discover the solution to the barriers by introducing the program (FRIPIER). This program unlocks FRP fast and lightweight for users with the cheapest of the credits sold by the developers of this program.
FRIPIER offers frp lock removal for many phones that include Tecno and Itel currently, but its developers are in progress to add more brands such as Samsung and all spreadtrum smartphones (SPD). Among the phones that are easier to unlock frp via FRPIER are Tecno K8 as well as Tecno f2 known as secureboots Locked smartphones. Also FRPIER did not forget to set up mobile models such as
Tecno F2
Tecno W1
Tecno W2
Tecno W3
Tecno WX3
Tecno WX3 Pro
Tecno WX3 Lite
Tecno W4
Tecno WX4
Tecno W5
Tecno W5 Lite
Tecno K7
Tecno K8
Tecno K9
Tecno L8
Tecno L8 Lite
Tecno L8 Plus
Tecno L9
Tecno J8 Boom
Tecno DroidPad 7D
Tecno Camon Cx
Tecno Camon Cx Air
Tecno C9
Itel A31
Itel P51
Itel S11
Itel S12
Itel S31
Itel S32
Itel S41
Itel 1655
and much more that are not listed here.

Download Frp tool  Download Here

2 thoughts on “New tool to remove Frp Lock

  1. hello!,I love your writing so much! percentage we keep up a correspondence extra about your article on AOL? I need a specialist in this area to unravel my problem. Maybe that’s you! Taking a look forward to peer you. |

    Like

Leave a comment